THERE IS NOTHING LIKE A BRIDE’S SQUAD

KILA BI HARUSI SIKU YAKE YA HARUSI KUNAKUA NA BAADHI YA RAFIKI ZAKE WA KARIBU AMBAO NDIO BRIDESMAIDS WAKE .SUPPORT YAO HUWA NI KUBWA FROM KUKU SAIDIA USIPANICK ,KUKUFANYA SPECIAL KWENYE SIKU HIYO,KUKU SUPPORT KUANZIA KWENYE SHOPPING,KU PLAN HARUSI NK.

LEO TUCHEKI BAADHI YA BRIDESMAIDS WALIVYOTOKELEZEA UNAWEZA KUPATA IDEA YA NINI CHA KUVAA WEWE NA YOUR GIRLS

You May Also Like

About the Author: Middy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *