Harusi ya Meneja wa Global Publishers Abdallah Mrisho Afunga ndoa Catherine Mdami

Tuwapongeze wana ndoa hawa wapya Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho na  Catherine Mdami

Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho na mkewe, Catherine Mdami wakiwa katika pozi la furaha, muda mfupi baada ya kufungwa kwa ndoa yao.

Maharusi wakiwa na wasimamizi wa ndoa yao, Bi Justina Mberesero (Matron) na Said Mdoe (Best Man).

You May Also Like

About the Author: Middy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *