Engagement Outfit Ideas

Kwa wale ambao wanavishana pete za uchumba na wanawaza wavae nini,leo tuna idea kabambe toka kwa Stella na Mwenzi wake.

couple ilinoga sanaaa

Hapa ni engagement sijajua send off na harusi inakuaje 

Bride to be alivaa satin strapless dress ilochanganywa na kitenge kidogo 

wakati Bwana harusi mtarajiwa alivaa blazer ya kitenge wali match flani hivi

walipendeza sanaaa.

Picha @dworksstudio

You May Also Like

About the Author: Middy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *