Bi Harusi na Bwana Harusi Wavaa nguo za Vitenge siku ya Harusi yao.

Hii harusi imenibamba sana tu sababu maharusi hawa wanapenda sana mila zetu za ki Africa na wanadumisha pia kwa vitendo.Wangeweza kuvaa suti au shela kwa bibi harusi ila la walitinga zao vitenge/african prints.

Hata decor yao ilikua ya ki Africa zaidi waliweka mikeka chini na mito watu waka kaa chini then kulikua pia na michezo ya ki Africa kama vile bao.

cheki picha nikuelezee vizuri.

Bi Harusi alivaa gauni ka mix kitenge na satin,kichwani ana dread locks zake tu

muonekano wa dress yake ,how amazing is this??

Bwana Harusi alivaa suti ya kitenge

high table ilikua mchanganyiko wa modern na vintage 

watu walivaa chini kwenye mikeka kama hivi 

cake 

mchezo wa bao

vyakula vili seviwa hivi,ma buffet yalipumzishwa 

wageni waalikwa walijitahidi kuvaa vitenge 

walipendeza sanaaa

dress no 2

and 3 

 

 

 

You May Also Like

About the Author: Middy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *