Lulu Alivyopenda na kivazi cha Elisha Red Label

ELizabeth Michael akijulikana zaidi kama Lulu,muigizaji mahiri wa filamu hapa bongo na mrembo kweli kweli

,juzi kati kala shavu la kuwa baloz wa tuzo za filamu za  SZIFF ,na kwenye uzinduzi alinoga ki hivi

Dressed by @elisha.red.label
Make up by @laviemakeup
Hair @luluzhair
Photo by @benardatilio
Accessories @joujouthestylist

Masha Allah

You May Also Like

About the Author: Middy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *