Gauni ya Jacqueline Mengi ya birthday yake inaweza kuvaliwaa kwenye harusi

Mrembo na mjasiriamali Jacqueline Mengi ambaye wengi wanamjua kaa K-Lynn ambaye alikua na birthday yake jana akiwa anatimiza miaka kadhaa .Alifanya photoshoot basi kwa ajili ya kusherehekea birthday yake akiwa kavaa kigauni ambacho kinaweza kuvaliwa kama gauni la harusi .

The wedding dress yake ina lace nyeupe hivi na ni ndefu yani hapa ukiongeza shela /Veil na kiatu basi bi harusi ushatoka zako.

 

You May Also Like

About the Author: Middy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *