Mc Wa Kike ::: Mc Rachel

Ma Mc wa kike wapo ila naona wako nyuma nyuma sana ,so i want to promote them huku kwenye website na intagram kuwaonyesha watu kwamba wanawake wanaweza ,kama wewe ni mc wa kike au unamjua mc wa kike kwenye comment chini niandikie jina lake la instagram nimcheki.

Leo tumcheki Mc Rachel ndo ana anza na yeye so mumpe chance basi awaonyeshe umahiri wake kwenye ushereheshaji.

Ukimuhitaji mcheki kwa no0657 147794/0659511103

Instagram @mcrachelevents 

 

You May Also Like

About the Author: Middy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *