Magreth’s Sendoff Party

Ukumbi::  Marantha Msimbaz HAPI VIPI???NIMENOGAA EEH na maids wake  keki mapambo ni furaha tu  Mwenye bahati yake  

Magreth’s Kitchen Party

Ukumbi::  City Mall Event :: Send off Magreth alichagua gauni rangi ya pink kwa ajili ya kitchen party yake  shangwe za ukumbini cake Mama na Mwana  

Rapper maarufu Stamina amvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu

Rapper Stamina yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake Veronica.Stamina ameonyesha njia sahihi kwa watu wote na zaidi watu maaarufu.Ndoa ni jambo jema jamani.  

Gauni ya Jacqueline Mengi ya birthday yake inaweza kuvaliwaa kwenye harusi

Mrembo na mjasiriamali Jacqueline Mengi ambaye wengi wanamjua kaa K-Lynn ambaye alikua na birthday yake jana akiwa anatimiza miaka kadhaa .Alifanya photoshoot basi kwa ajili ya kusherehekea birthday yake akiwa kavaa kigauni ambacho kinaweza kuvaliwa kama gauni la…

Mc Wa Kike ::: Mc Rachel

Ma Mc wa kike wapo ila naona wako nyuma nyuma sana ,so i want to promote them huku kwenye website na intagram kuwaonyesha watu kwamba wanawake wanaweza ,kama wewe ni mc wa kike au unamjua mc wa kike…

Dj’s :: Dj Shukuru

Yes ni Dj Shukuru Malewa Aanfanya naye vizuri kwenye shughuli za upigaji muziki kwenye functions mbalimbali kama wataka muziki mzuri kwenye sendoff,weddings ,au event yoyote ile bas cheki nae akufanyie kazi nzuri. Bookings wafanyia kwa namba hii 0713357936 mcheki…

VAA HIVI UKIWA MGENI MWALIKWA KWENYE HARUSI

     

Magauni ya kushona ukiwa Mgeni mwalikwa kwenye Harusi,Kitchen Party au Send off

December inakaribia which means kutakua na sherehe kibao,kwa wote ambao wanapenda kushona  nguo basi hii ni ya kwenu. Desa zako then kashone.    

Best Dj in Town :: Dj Side

Kwa wale wenye shughuli mbalimbali halafu wanatafuta dj mkali mjini hapa basi cheki na Dj Side ,jina la kupewa na wazazi wake ni Saidi Ahmad. Yupo instagram mcheki kwa  account hii dj_side_41  

Harusi Ilokiki sana Instagram ya Banky Wellington na Adesua Etomi #BAAD17

  Am sure wengi mliona hii harusi ya hawa ma celeb wa Nigeria ambayo ilikiki sana kwenye social media especially instasgram kuanzia kwenye traditional wedding na hata white wedding waliyofanya huko South Africa. the bride Details Mr and…