THERE IS NOTHING LIKE A BRIDE’S SQUAD

KILA BI HARUSI SIKU YAKE YA HARUSI KUNAKUA NA BAADHI YA RAFIKI ZAKE WA KARIBU AMBAO NDIO BRIDESMAIDS WAKE .SUPPORT YAO HUWA NI KUBWA FROM KUKU SAIDIA USIPANICK ,KUKUFANYA SPECIAL KWENYE SIKU HIYO,KUKU SUPPORT KUANZIA KWENYE SHOPPING,KU PLAN…

Ni kweli Bridesmaids wakivaa nyeupe watamfunika Bi Harusi?? Plus Picha za Ma Maids walovaa White

Kumekua na dhana kwamba wasimamizi wa kike wa bibi  harusi hawatakiwi kuvaa nguo nyeupe kwasababu watamfunika bibi harusi. Me naona si kweli,sababu gauni la bibi harusi kwanza linakua tofauti kabisa na maids na hata hair style,make up lazima…

Bridesmaids Walotinga Suti ,Waonaje???

Hawa bridemaids walinifurahisha sana,waliamua kuachana na magauni yanayovaliwa kila siku,so wakaamua kushona zao suti za ukweli,sometimes tunahitaji kuchana na mazoea na kujaribu vitu vipya wazungu wanasema go out of your comfort zone,au think outside the box . Walivaa…

Bridesmaids Dresses Ideas

Leo tucheki kwenye Nguo za bridesmaids,na wao wana takiwa wapendeze haswaa sababu wana stand out sana kwenye sherehe. Na mishono ya magauni yao ni mingi but kama wataka mishono ambayo siyo ya nchi hii au ambayo mikali basi…