Dj’s :: Dj Shukuru

Yes ni Dj Shukuru Malewa Aanfanya naye vizuri kwenye shughuli za upigaji muziki kwenye functions mbalimbali kama wataka muziki mzuri kwenye sendoff,weddings ,au event yoyote ile bas cheki nae akufanyie kazi nzuri. Bookings wafanyia kwa namba hii 0713357936 mcheki…

Best Dj in Town :: Dj Side

Kwa wale wenye shughuli mbalimbali halafu wanatafuta dj mkali mjini hapa basi cheki na Dj Side ,jina la kupewa na wazazi wake ni Saidi Ahmad. Yupo instagram mcheki kwa  account hii dj_side_41  

BEST DJ IN TOWN ::Dj CHICHITZ

Anaitwa Francis Fumbuka aka Dj Chichitz Anapiga kwenye sherehe mbalimbali ,kama ni wedding,sendoff ,kitchen party ,bash,kama mna party yoyote ile na mnataka Dj atakae waburudisha basi mcheki Dj Chichitz. Instagram mcheki kwa jina la @Djchichitz

Best Dj’s in Town ::: Robie Mwangata

Kwenye series ya Best Dj’s in town leo tunazidi kukuongezea idadi ,tukiwa na kijana Robie.Ni Dj mkali ambaye anapiga kwenye party,Bash,Harusi,sendoff ,etc Yuko mobile pia kwamba ukimuita anakuja kukupa bangs za kutosha kwenye sherehe yako. Ana discpline na…

BEST DJ IN TOWN :: DJ BABYTZ

Yes hii itakua segment mpya ambayo tutawapa shout out kwa Ma Dj ambao wanafanya vyema kama ilivyo kwa ma Mc basi kuna Djz wakali tu waweza kuwa book kwa sherehe yako maalum. Leo tunaye Dj baby huyu ni…