Engagement Outfit Ideas

Kwa wale ambao wanavishana pete za uchumba na wanawaza wavae nini,leo tuna idea kabambe toka kwa Stella na Mwenzi wake. couple ilinoga sanaaa Hapa ni engagement sijajua send off na harusi inakuaje  Bride to be alivaa satin strapless…