Gauni ya Jacqueline Mengi ya birthday yake inaweza kuvaliwaa kwenye harusi

Mrembo na mjasiriamali Jacqueline Mengi ambaye wengi wanamjua kaa K-Lynn ambaye alikua na birthday yake jana akiwa anatimiza miaka kadhaa .Alifanya photoshoot basi kwa ajili ya kusherehekea birthday yake akiwa kavaa kigauni ambacho kinaweza kuvaliwa kama gauni la…

Harusi Ilokiki sana Instagram ya Banky Wellington na Adesua Etomi #BAAD17

  Am sure wengi mliona hii harusi ya hawa ma celeb wa Nigeria ambayo ilikiki sana kwenye social media especially instasgram kuanzia kwenye traditional wedding na hata white wedding waliyofanya huko South Africa. the bride Details Mr and…

Francis & Leocadia’s wedding

Groom :: Francis D. Mnyema Bride:: Leocadia M. Mangasi Ukumbi : Royal Skyline Motel Mc : Chriss Mauki Make up and hair : Lavie Make up Photography : Sherehe Yetu  Mcheki Abdul kimanga Bookings | +255 755 859…

HARUSI YA STAR WA TENNIS DUNIANI SERENA WILLIAMS

YES WEEKEND HII HAPA ILOPITA MCHEZA KIKAPU BINGWA WA KIKE SERENA WILLIAMS ALIFUNGA NDOA NA ALEXIS OHANIAN . PICHA NDO HIZI

Chrispin and Hellen White Wedding

Groom :: Chrispin Stephan aka Dr.Chris huyu pia ni Master of ceremonies Bride :: Hellen Nicholas Venue ::Picolo Beach Hotel                

Renatusi Muabhi & Anna’s wedding

Groom ;; Renatus G.Mahubi Bride ;; Anna R.Haule ukumbi :Cardnal Rugambwa MC ; Henjewele CHURCH CEREMONY SOON TO BE MR AND MRS BRIDESMAIDS   OFFICIAL MR AND MRS MAHUBI RECEPTION DECOR   CAKE    

Groom Lady

Unawajua groom ladies??au ushawahi kukutana na hili neno la groom lady???well ni sawa na unaposema groom men ambao ni wasimamiaji wa harusi wakiume sasa wapo wasimamiaji wa harusi wa kike kwa upande wa bwana harusi. Bwana harusi anakua…

Bi Harusi Huyu Katisha sana na Mburuzo wa gauni lake

Huyu bi Harusi kwa mwaka huu wa 2017 nafikiri yeye ndo bi harusi peekeee alovaa gauni lenye mburuzooo au kwa kizungu wasema bridal train ,hii ni ya funga mwaka . Gauni zuri mnooo ila huo mburuzooo sasa sijui…

Muslim Bridal Outfit and Make Up Inspirations from Zuhura

Nimependa huyu bi harusi alivyovaa white maana waislam wengi Bi harusi anavaa rangi kijani,nyekundu ,blue nk but huyu aliacha huu utamaduni na kuvaa white,kingine nimependa jinsi gauni yake ilivyokua simple hakukua na vitu kibao ,mawaka waka kila mahali.na…

The Fellas Wedding

Mama na Mwana   kila mtu anapenda wazazi wake wawepo kwenye siku yake ya harusi unless hawawezi au hawapo  machozi ya furaha