Mc Wa Kike ::: Mc Rachel

Ma Mc wa kike wapo ila naona wako nyuma nyuma sana ,so i want to promote them huku kwenye website na intagram kuwaonyesha watu kwamba wanawake wanaweza ,kama wewe ni mc wa kike au unamjua mc wa kike…

Best Mc in Town ::: Mc Kalinga

Unahitaji Mc Mkali ambaye yuko proffesional na ana uzoefu wa muda mrefu na kazi hii na anaijua vyema kazi yake ?? Basi Mc Kalinga ni mtu wa kumtafuta ASAP . Sababu ukumuamini basi atafanya kazi nzuri na atakushangaza….

Best Mc in Town:: Mc Mwambene

Ni kijana machachari kabisa Martin Saxon aka Mc Mwmcmwambeneambene ,kwa mahitaji ya mshereheshaji wa Social na Corporate events huna budi kumcheki atakufanyia kazi ya vizuri sana na itapita matarajio yako,mpe kazi halafu utaleta mrejesho hapa.He is very smart and…

The Best Master of Ceremony :: Mc Luvanda

Ni series yetu pendwa tukiwa appreciate ma Mc wakali mujini,leo tupo na Mc Anthony Luvanda Ni bonge ya Mc ,anafanya vizuri sana kwa sasa hivi anapenda sana kuvaa ,there is no way utamkuta Mc Luvanda hajapendeza iwe akiwa…

THE BEST MC IN TOWN ::Mc NDIMBO

Mc Ndimbo ni Mc na Wedding planner the multi talented kama wengi tunavyopenda kumuita. He is a teacher by professional . Anamsemo wake mmoja wa Tuamini Tukushangaze so kwa sherehe bomba unahitaji mshereheshaji anaejua kazi yake vyema,Muamini Mc…

BEST MC IN TOWN ::: MC Mwl.MAKENA

He is well know as Mwl.Makena ,mbali na kua ni Master of Ceremony yeye pia ni Motivational and Inspirational Speaker ,Mwl.Makena sio mtu wa sport sport. Ameacha profession yake ya ualimu kwa kufundisha mashuleni but sasa ana andika vitabu mbalimbali…

THE BEST MC IN TOWN :: Mc ERICK MCHOME

Yes yes leo tupo na moja ya Mc mkali sana town kwa sasa nae ni Erick Mchome Yeye ni master all event maana yake events zote anafanya u Mc fresh tu yani ,kikazi zaidi Wengi mnajua kazi zake…

Mc wa Kike Mkali Sana ::Stente Matantaa

the beautiful Mc Stente ,she is cute,smart ,very professional  and amazing at her job by the way happy belated birthday mrembo kamshono vepee?? ulipendeza sana  mcheki instagram @mcstente 

THE BEST MC IN TOWN :: MC BUKUKU

MC Bukuku ni professional Master of Ceremony ambaye anafanya kazi nzuri ,na yupo juu ,am sure ukiauliza kwa watu Ma Mc wakali Mujini hapa basi jina lake litakua moja wapo. Kama wata akushereheshee shughuli yako kwa makeke,proffesionalism,na kwa…

THE BEST MC IN TOWN ::BASIL JONAS aka Mc.B

Ni Master of Ceremony in town anaitwa Mc.B,wote tunajua shughuli za watu wa Tanga wana maneno si ya nchi hii,kwa sherehe ilojaa shagwe kibao za kibabe  Mcheki kwa huduma za ushereheshaji zozote iwe harusi,send off etc For Bookings…