Magreth’s Sendoff Party

Ukumbi::  Marantha Msimbaz HAPI VIPI???NIMENOGAA EEH na maids wake  keki mapambo ni furaha tu  Mwenye bahati yake  

LEOCADIA’S NIGHT

Bride to be :: Leocadia Mc :Dr.Cheni Ukumbi : Sunset Impala Hall Photography : Sherehe yetu The shoes  Make up       Sala muhimu cake wanakamati oyeeee      kumtafuta wa ubani      

Sendoff:: Mchekeshaji Joti akabidhiwa Jiko jana Kwenye Send off ya mchumba wake.

Jamani hili sio tangazo ni kweli kwamba Joti anaoa sasa basi imefanyika send off kwa upande wa mke wake mtarajiwa hapa tunasubiri ubwabwa tu. Engagement photo Na rafiki yake/Mchekeshaji mwenzake  Seki Masha Alla kajipatia chombo

Dress Hii ya beyonce inaweza kuvaliwa pia kwenye Sendoff Party Yako

Ni mara kadhaa watu wakipata inspirations kutoka kwa mastaa mbalimbali duniani wakija na mikato yao ya khatari na kuvutia mashabiki zao kiasi cha kutaka kuvaa kama wao. Mwanamuziki Beyonce alivaa gauni hili la emerald green kwenye benefit concert…

Priscilla Sendoff Party

Bride to be ::Priscilla Make up ::Hellen’s bridal kumbi:: King Solomon Mc:: Mc Tall Video & Photography ::Shereheyetu  tucheki kwa namba 0755859128 Make up and hair Hellen’s bridal kashanoga bado kumalizia nywele na kuvaa  The dress Unyayoooo All…

MISHONO YA SARE ZA HARUSI,SEND OFF AU KITCHEN PARTY

Mishono amazing kwa ajili ya kushona sare,hata kama sio sare waweza shona tu mwenyewe ujivalie upendeze.

Mkamit’s Night

BI HARUSI MT : MKAMIT A.E MWAMBA MAKE UP : LAVIE UKUMBI : RUGAMBWA MC : GARA B VIDEO & PHOTOGRAPHY @ SHEREHEYETU

HOPE’S SENDOFF PARTY

Mc Mchome Ukumbi ::Golden memory Mc Mchome  Hope na maid of honor wakiingia ukumbini she is beautiful  such a nice smile  Wanakamati oyeeeeeee ,huwaga kufanikisha shughuli si kazi ndogo sijui kwanini Mwenyekiti wa kamati lazima awe mtu mzima…

Zena’s Night

Bride :;Zena (Grace) Mc:: Mc Tall Ukumbi::Mbezi Garden DECOR  TABLE SETTING SHE LOOKED AMAZING  CHEERS  

Rehema’s Sendoff Party

Aliyeagwa ::Rehema Mc ::Mc Bukuku Ukumbi : Tazara  Makup shurti usop sop mburuzoo ma maids CAKE  DECOR  UTAMBULISHO HAPA NDO DJ ATAIMBA HUYO NI CHAGUO LAKO