Lulu Alivyopenda na kivazi cha Elisha Red Label

ELizabeth Michael akijulikana zaidi kama Lulu,muigizaji mahiri wa filamu hapa bongo na mrembo kweli kweli ,juzi kati kala shavu la kuwa baloz wa tuzo za filamu za  SZIFF ,na kwenye uzinduzi alinoga ki hivi Dressed by @elisha.red.label Make up by @laviemakeup…

Wedding Guest Dresses Ideas

Kwa wale waalikwa na kunakua na Sare basi chekini mitindo hii hapa mkachone mnogeeee,hii mishono unaweza kupunguza au kuongeza kitu wewe tu upendavyo ila sio lazima kushona kama ilivyo hapa ‘

Wedding Guest Outfit Ideas

Kama kuna sare na umealikwa kwenye shughuli basi mishono hii waweza kuidesa.

Mishono kwa Ajili ya Sare za Sendoff,Kitchen Party au Harusi kwa wale Waalikwa

Hii ni mishono flani amazing kwa wageni waalikwa kwenye sherehe mbalimbali. Unaweza pia kuita dress code sababu inakua kitambaa au kitenge kimechaguliwa kimoja then kila mtu anashona kwa mshono wake anaotaka au anaopenda.