Desa Kadi za Mwaliko wa Harusi

Kama unatafuta designs za kadi mbalimbali za harusi,au send off au anniversary basi we got you covered tumekukusainyia inspirations za kadi mbalimbali ambazo unaweza kudesa na kuwapa wakutengenezee kutokana na mahitaji yako.    

Wedding Guest Outfit Ideas

Kama kuna sare na umealikwa kwenye shughuli basi mishono hii waweza kuidesa.

THERE IS NOTHING LIKE A BRIDE’S SQUAD

KILA BI HARUSI SIKU YAKE YA HARUSI KUNAKUA NA BAADHI YA RAFIKI ZAKE WA KARIBU AMBAO NDIO BRIDESMAIDS WAKE .SUPPORT YAO HUWA NI KUBWA FROM KUKU SAIDIA USIPANICK ,KUKUFANYA SPECIAL KWENYE SIKU HIYO,KUKU SUPPORT KUANZIA KWENYE SHOPPING,KU PLAN…

Mc Dr. Cheni na Mkewe Sabrina Washerehekea Kutimiza Miaka 10 ya Ndoa yao

Mc Dr. Cheni  na  Mkewe Sabrina Washerehekea Kutimiza Miaka 10 ya Ndoa yao. Hii ni sehemu ya sherehe hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa JM Elegancy Sinza Mori, iliyonogeshwa na Washereheshaji wa fani mbalimbali pamoja na wasanii wa Filamu za…

Priscilla Sendoff Party

Bride to be ::Priscilla Make up ::Hellen’s bridal kumbi:: King Solomon Mc:: Mc Tall Video & Photography ::Shereheyetu  tucheki kwa namba 0755859128 Make up and hair Hellen’s bridal kashanoga bado kumalizia nywele na kuvaa  The dress Unyayoooo All…

Suruali au Jumpsuit kwa Siku ya Harusi

Ni utamaduni wa watu wengi sana kwamba bi harusi mara nyingi lazima avae GAUNI,But kuna bi harusi wengine wanachagua kwenye toafuti kidogo japo huwa ni wachache sana. Wengi wanaogopa au wakidhani sio vazi rasmi kuvaa suruali au jumpsuit…

Adam and Mwanaarabu Wedding

Bw. Har. Adam Bi. Har. Mwanaarabu Make up. Maznat Decor. Harusinzuri Venue . Cardinal rugambwa Msosi . Dorka catering Mc . De cheni Video. Shereheyetu CAKE  RECEPTION DECOR  THAT PERFECT TABLE SETTING     

MISHONO YA SARE ZA HARUSI,SEND OFF AU KITCHEN PARTY

Mishono amazing kwa ajili ya kushona sare,hata kama sio sare waweza shona tu mwenyewe ujivalie upendeze.

Charles and Rehema’s Wedding

Groom :Charles Brides: Rehemaz MC : Dr Magige DECOR & CAKE  UTAMBULISHO CAKE TIME MAMBO YA KU TOAST HAYA  CHEERS   WACHAGA TENA NA NDAFU SIO MCHEZO SEREBUKA SEREBUKA ZAWADI KUTUNZANA HAKUJAWAHI MUACHA MTU SALAMA  

Mkamit’s Night

BI HARUSI MT : MKAMIT A.E MWAMBA MAKE UP : LAVIE UKUMBI : RUGAMBWA MC : GARA B VIDEO & PHOTOGRAPHY @ SHEREHEYETU