Gauni ya Jacqueline Mengi ya birthday yake inaweza kuvaliwaa kwenye harusi

Mrembo na mjasiriamali Jacqueline Mengi ambaye wengi wanamjua kaa K-Lynn ambaye alikua na birthday yake jana akiwa anatimiza miaka kadhaa .Alifanya photoshoot basi kwa ajili ya kusherehekea birthday yake akiwa kavaa kigauni ambacho kinaweza kuvaliwa kama gauni la…

Harusi Ilokiki sana Instagram ya Banky Wellington na Adesua Etomi #BAAD17

  Am sure wengi mliona hii harusi ya hawa ma celeb wa Nigeria ambayo ilikiki sana kwenye social media especially instasgram kuanzia kwenye traditional wedding na hata white wedding waliyofanya huko South Africa. the bride Details Mr and…

Francis & Leocadia’s wedding

Groom :: Francis D. Mnyema Bride:: Leocadia M. Mangasi Ukumbi : Royal Skyline Motel Mc : Chriss Mauki Make up and hair : Lavie Make up Photography : Sherehe Yetu  Mcheki Abdul kimanga Bookings | +255 755 859…

Renatusi Muabhi & Anna’s wedding

Groom ;; Renatus G.Mahubi Bride ;; Anna R.Haule ukumbi :Cardnal Rugambwa MC ; Henjewele CHURCH CEREMONY SOON TO BE MR AND MRS BRIDESMAIDS   OFFICIAL MR AND MRS MAHUBI RECEPTION DECOR   CAKE    

Bi Harusi Huyu Katisha sana na Mburuzo wa gauni lake

Huyu bi Harusi kwa mwaka huu wa 2017 nafikiri yeye ndo bi harusi peekeee alovaa gauni lenye mburuzooo au kwa kizungu wasema bridal train ,hii ni ya funga mwaka . Gauni zuri mnooo ila huo mburuzooo sasa sijui…

The Fellas Wedding

Mama na Mwana   kila mtu anapenda wazazi wake wawepo kwenye siku yake ya harusi unless hawawezi au hawapo  machozi ya furaha

Harusi ya Rapper Gucci Mane $1.7 Millions na keyshia Ka’oir Wedding

Harusi ya Rapper Gucci Mane ilikua ni all white na ili gharimu $1.7 Millions na ilikua all white Wedding ,ukiongelea harusi nzuri hii ni moja wapo ya harusi kali za mastaa wa marekani. Guest/Waalikwa walijua sana kufata dress…

Harusi Ilokiki Sana Instagram Weekend hii

Ni mashahidi kwamba wanaiJeria huwa hawana mchezo kwenye swala la harusi ,they go all in wanajitahidi sana kwenye decor,nguo pia wako vizuri sana washafika zile level za kimataifa. Weekend ilopita kulikua na harusi ya fashion designer Yomi na…

Bi Harusi na Bwana Harusi Wavaa nguo za Vitenge siku ya Harusi yao.

Hii harusi imenibamba sana tu sababu maharusi hawa wanapenda sana mila zetu za ki Africa na wanadumisha pia kwa vitendo.Wangeweza kuvaa suti au shela kwa bibi harusi ila la walitinga zao vitenge/african prints. Hata decor yao ilikua ya…

Adam and Mwanaarabu Wedding

Bw. Har. Adam Bi. Har. Mwanaarabu Make up. Maznat Decor. Harusinzuri Venue . Cardinal rugambwa Msosi . Dorka catering Mc . De cheni Video. Shereheyetu CAKE  RECEPTION DECOR  THAT PERFECT TABLE SETTING